tangazo
Loading...

.

Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti


WASANII wawili ambao ni wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab ‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti. Wawili hao waliondoka Dar es salaam Jumamosi wiki iliyopita na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja na Raymond Jumatatu ya sikukuu

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MCHANYATO | Designed By JIJI LETU
Back To Top