tangazo
Loading...

.

Video:Shilole na Nuh Mziwanda Wamwagiana Mabusu mazito ndani ya Basi la Fiesta

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana. 

 Angalia Video hapa chini:

==

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MCHANYATO | Designed By JIJI LETU
Back To Top