Matokeo ya Tuzo aliyokuwa akiiwania mwanamuziki Diamond Platnumz kutoka Tanzania yametangazwa.
Diamond Platnumz pamoja na wasanii wengine toka Afrika walikuwa wakiwania tuzo ya Best International Act: Africa na matokeo yametangazwa huku mwanamuziki Black Coffee kutoka Afrika Kusini ndiye aliyenyakua tuzo hiyo.
Black Coffee ameweka historia baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Kusini kushinda tuzo ya BET.
Tuzo za wanasnii wengine wa kimataifa zinatarijiwa kufanyika kesho Jumapili Juni 26, Marekani.
Chapisha Maoni