Wanaume wamekua wakiamini kwamba mwanamke ni chombo cha starehe kwao kiasi wanafikia hatua ya kujisahau kabisa na kufanya tendo la ndoa na kumuacha mwenzie ana hang hang. Na si ajabu hata akafanya fanya tu ilimradi akishafika yeye kileleni basi hana tena wazo mwenziwake.
 Dunia imeendelea sana siku hizi mpaka hata kwenye vitu ambavyo unaweza kudhani havina mahusiano yoyote na kuendelea kwa dunia ninakokuongelea, siku hizi kuna filamu, mikanda ya ngono watu wanangalia na unaweza ukastaajabu kuona watu wana makundi kabisa ya WhatsApp wanajifunza mambo kede kede kuhusu mapenzi.
Na hitimisho linalopatikana mwisho wa siku ile ni kazi ya nyote wawili, mwanamke kumfurahisha mwanaume na mwanaume kumfurahisha mwanamke. Endapo ikatokea umewahi  basi kuna budi kuendelea kumfurahisha mwenzio mpaka utakapoona ameridhika kama siyo yeye kusema imetosha, mbona wanawake wamekua wakifanya hivyo miaka yote? Kwanini sio na nyie wanaume?
Leo ningependa tuzungumzie kuhusu wanachokifikiria wanawake endapo mwanaume atashughulika na kasha kufika kileleni mapema ama ghafla:-
  1. Hofu
Inawezekana amekutana na mwanamke huyo kwa mara ya kwanza hata mwenzie hajaanza kufaidi chochote mara  wageni haooo!!! Kwa ninavyowajua wanaume ikiwa si tabia yake anajijua kabisa ile ilikua ni hofu tu ya kuwaza kama ata-underperform na akaishia kukudissapoint basi atahakikisha anakukomesha kwenye raundi inayofuata.
  1. Uzoefu mdogo
Mwanamke hujiliza maswali mengi sana endapo mwanaume atafika kileleni mapema, moja ikiwa uzoefu wa mwanaume huyo, kama umeangalia movie Eddie Murphy anasema ‘dick control’. Na kama mwanamke atawaza hivi na akakupa nafasi nyingine nayo ukavurunda, jua hauna muda mrefu na mwanamke huyo. Atakukimbia tu akafuate kwenye mchezo unaoeleweka.
  1. Inawezekana mwanaume hajafanya tendo kwa muda mrefu
Uzuri wanawake huwa wavumilivu sana, siku zote haya maswali hufuatiwa na kupewa nafasi nyingine na nyingine tena ili tu ajiaminishe kama ni kweli hujiwezi au ni kwa vile hukuwa umecheza mchezo huo siku nyingi na hivyo wageni walikua karibu sana?
Wanawake huamini mwanaume asipojiamini kwamba anastahili kuwa na mwanamke kama yeye basi huharibu au huingiliana na uwezo wake wa kitandani. Kama unamfaa yeye hapa atajitahidi kadri awezavyo kukufanya ujiamini, na akishindwa basi utakimbiwa. Na uwe tayari kwa hilo.
  1. Je? Umemtumia ?
Inaeleweka kama utafanya tendo hilo kwa maonjo ya hapa na pale, wazungu wanasema ‘foreplay’ na wakati mwingine kama umejikuta wewe umewahi kufika kileleni kuliko mwenzio wa kike,kuna njia nyingi za kuendelea kumfurahisha, google ipo kukupatia msaada huo kama hujaenda jandoni. Lakini ukiwahi kufika na wala usimjali yeye anafihitaji nini, haya mawazo yaw ewe umemtumia hayatakatika kichwani kwake.
Mwisho ya yote, mwanaume kinachoangaliwa na mwanamke kama umeperform vizuri ni ‘foreplay’ na ‘dick control’ na nakuibia siri wakati mwingine hata sio ukubwa au udogo wa maumbile yako. Jifunze kutimiza haja za mwenzio.